Washindi TAFA 2015 kujulikana usiku wa leo
Shughuli kubwa ya ugawaji wa tuzo kwa kazi na wasanii bora wa tasnia hiyo kupitia Tanzania Film Awards 2015, inafanyika leo na inatarajiwa kuanza majira ya saa mbili usiku Mwalimu Nyerere Conference Centre jijini Dar es Salaam.