Tanzania yatolewa michuano ya wazi ya Tenisi
Nchi wenyeji wa mashindano ya Taifa ya wazi ya mchezo wa Tenisi, Tanzania imetolewa katika hatua ya nusu fainali katika mashindano hayo yanayotarajiwa kumalizika hapo kesho katika uwanja wa Gymkhana jijini Dar es salaam.

