Wajasiriamali watakiwa kutumia fursa za Vikoba Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Dkt. Reginald Mengi. Wajasiriamali wadogo wametakiwa kutumia fursa za vikoba katika kukuza mitaji ya biashara zao ili kuhimili ushindani wa kibiashara na bidhaa kutoka nje ya nchi. Read more about Wajasiriamali watakiwa kutumia fursa za Vikoba