Stars kuelekea Ethiopia kesho kujiandaa AFCON Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars inatarajia kuondoka kesho kuelekea nchini Ethiopia kwa ajili ya kujiandaa na mechi dhidi ya timu ya Misri kufuzu michuano ya AFCON. Read more about Stars kuelekea Ethiopia kesho kujiandaa AFCON