Ligi ya Karate kuendelea kesho Dar es salaam Ligi ya mchezo wa Karate nchini inatarajia kuendelea hapo kesho kwa kuchezwa michezo sita katika viwanja vya Leaders na Burhani Upanga jijini Dar es salaam. Read more about Ligi ya Karate kuendelea kesho Dar es salaam