BVR yaanza kwa kero mkoani Mwanza
Zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo mpya wa BVR mkoani Mwanza, limeanza kwa malalamiko kutokana na baadhi ya vituo kufunguliwa nje ya muda uliowekwa na tume ya taifa ya uchaguzi (NEC).