msanii wa bongofleva nchini Prof. Jay na Mh. Mbilinyi aka Sugu
Rapa Proffesa Jay amewakahikishia mashabiki wake kuwa endapo hesabu zitaenda sivyo na akakosa kiti cha ubunge anachowania kwa sasa, atarejea kwa nguvu zote katika muziki ambao umekuwa ndiyo msingi wa shughuli zake.