Sauti Sol kukamua Marekani wasanii wa kundi la muziki la Sauti sol nchini Kenya Kundi la muziki la Sauti Sol kutoka nchini Kenya, limejipanga kwa ajili ya kuanza ziara yao nchini Marekani kwa siku kumi kuanzia leo, ambapo watafanya maonesho zaidi ya matano nchini humo. Read more about Sauti Sol kukamua Marekani