Rabbit amshukuru Mungu kwa kumnusuru.
Rapa Rabbit aka Kaka Sungura ameshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha baada ya tukio hatari la kuvamiwa na majambazi watatu waliokuwa na silaha ndani ya mgahawa mmoja Madaraka jijini Nairobi Kenya na kuibiwa vitu mbalimbali vya thamani.