Mbio za magari kutimua vumbi Juni 12 Dar es salaam Mashindano ya Magari yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi siku ya Ijumaa Kisarawe mkoani Pwani, kwa kushirikisha madereva kutoka nchi za Uganda, Kenya na Zambia kama waalikwa. Read more about Mbio za magari kutimua vumbi Juni 12 Dar es salaam