Vurugu zazuka Njombe baada ya Polisi kudaiwa kuua

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Ambaye ni Afisa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Njombe Franco Kibona.

Wakazi mkoa wa Njombe wameandamana baada ya polisi kudaiwa kumuua raia mmoja kwa kumpiga risasi na kujeruhi wengine kadhaa katika mtaa wa Kambarage.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS