Msanii wa muziki wa bongofleva M2 The P akiwa na marehemu Albert Ngwair
Siku ya leo katika kuadhimisha miaka miwili tangu kufariki kwa staa wa muziki Albert Mangwair, shughuli za ibada na kusafisha kaburi la marehemu zimefanyika nyumbani kwao huko Morogoro.