Minja kufikishwa mahakamani Alhamis hii

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Johnson Minja mwenye shati la Drafti akiongoza na baadhi ya wanachama wa jumuia hiyo.

Mahakama ya hakimu mkazi ya wilaya ya Dodoma kesho inatarajia kuanza kusikilizwa kwa maelezo ya awali ya kesi ya uchochezi inayomkabili mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara nchini, Johnson Minja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS