Tenisi wazi kwa vijana Juni 24 Dar es salaam Chama cha Tenisi Nchini TTA kimeandaa michuano ya wazi kwa watoto na vijana itakayofanyika uwanja wa Gymkhana jijini Dar es salaam kuanzia Juni 24 mwaka huu. Read more about Tenisi wazi kwa vijana Juni 24 Dar es salaam