EWURA yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta.
Kutoka na Kushuka kwa thamani ya Shilingi ya Tanzania bei ya petrol imeendelea kupanda baada ya mamlaka ya udhibiti wa huduma za Nishati na Maji EWURA, kutangaza ongezeko la sh. 11 wakati dizel ikipanda kwa shilingi 23.