Mbunge Mwaiposa azikwa leo Dar es salaam
Dkt Mohamed Gharib Bilal amewaongoza mamia ya wakazi wa jimbo la Ukonga katika maziko ya aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Ukonga jijini Dar es salaam, Mh. Eugen Mwaiposa yaliyofanyika nyumbani kwake Kipunguni B jijini Dar es Salaam.