TTTA kusaka washiriki All African Games Chama cha Mpira wa meza nchini TTTA kimeandaa mashindano ya taifa ya kuwasaka wachezaji watakaounda timu ya Taifa itakayoshiriki michuano ya kimataifa mwaka huu. Read more about TTTA kusaka washiriki All African Games