Yanga na Azam uso kwa uso Taifa
Ligi kuu Soka Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea kesho (Mei 05) kwa kupigwa mchezo mmoja wa kiporo kati ya mabingwa wa ligi hiyo, Dar Young African dhidi ya Azam mechi itakayochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.