TCRA yatoa elimu kwa makundi yenye mahitaji maalum
Mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania TCRA imesema itaendelea kutoa elimu kwa makundi yote yenye mahitaji maalum hapa nchini kwa lengo la kuhakikisha yanapata huduma za mawasiliano bila ya kubaguliwa.