Ngassa apiga tizi na Yanga Mshambuliaji mpya wa Free State Stars ya Afrika Kusini, Mrisho Khalfan Ngassa leo amerejea kwa muda katika timu yake, Yanga SC na kufanya nayo mazoezi. Read more about Ngassa apiga tizi na Yanga