BVR Kilimanjaro yaanza kwa tahadhari ya uraia Zoezi la uandikishaji wapiga kura katika mkoa wa Kilimanjaro limeanza rasmi leo huku tahadhari kubwa ikitakiwa kuchukuliwa juu ya uwepo wa watu wasiokuwa na sifa ya uraia katika kujiandikisha. Read more about BVR Kilimanjaro yaanza kwa tahadhari ya uraia