Bunge lapitisha bajeti ya Mwaka 2015/2016
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limepitisha Bajeti ya Serikali ya trilion 22.4 kwa mwaka 2015/2016 iliyowasilisha june 11 na Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum ambayo imefanyiwa marekebisho kadhaa.

