Mashaidi 15 kutoa ushahidi kesi ya Minja Mwenyekiti wa jumuiya ya wafanyabiashara nchini Johnson Minja akiwa mahakamani Serikali imeandaa zaidi ya mashahidi 15 kwa ajili ya kutoa ushahidi kwenye kesi ya uchochezi inayomkabili mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara nchini, Johnson Minja. Read more about Mashaidi 15 kutoa ushahidi kesi ya Minja