Mama wa msanii Navio avamiwa mama mzazi wa msanii wa nchini Uganda Navio, Maggie Kigozi Mama wa rapa Navio kutoka nchini Uganda, Daktari Maggie Kigozi amelazwa hospitali baada ya tukio la kuvamiwa na kujeruhiwa na majambazi ambao walikuwa wamevamia nyumbani kwake. Read more about Mama wa msanii Navio avamiwa