Yanga yaanza maandalizi Kagame na kupima wachezaji
Mabigwa wa ligi kuu soka Tanzania bara katika msimu uliomalizika, timu ya Yanga imeanza mazoezi kwa ajili ya kuajiandaa na mashindano mbalimbvali ikiwemo michuano ya Kagame inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Julai mwaka huu jijini Dar es alaam.