Planet Bongo
Muda mrefu sana kwenye Muziki wa Bongo Flava nchini mengi yamefanyika ni muda mrefu tangia apotee kimuziki na sasa amerudi tena huyu hapa Dudu Baya ndani ya PLANET BONGO ya EATV usikose kutazama ni Jumatatu hii saa 3:00 Usiku hapa Eatv pekee