Barnaba kuibadili Bongo Flava kwa 'High Table'
Msanii wa muziki Barnaba 'Classics' ameeleza kuwa lengo la Studio yake mpya ya High Table, licha ya kuwa inahusika na utayarishaji wa kazi za Bongofleva pekee ni kuuwekea muziki huo uhai, na kuufanya udumu zaidi ya ilivyo sasa.