Chibao ajiongeza kutia nakshi Hip Hop Chibau na Jacky Chant Msanii anayekuja juu kwa kasi katika miondoko ya Hip Hop, Chibau ameamua kutia nakshi muziku huo kwa kutengeneza kolabo na mwanamuziki wa dance. Read more about Chibao ajiongeza kutia nakshi Hip Hop