Afrika yatakiwa kuzingatia taarifa za hali ya hewa
Nchi zinazoendelea katika bara la Afrika ikiwemo Tanzania zina wajibu wa kuhakikisha kwamba taarifa za hali ya hewa zinawafikia wananchi hasa waishio maeneo ya vijijini ili kuepukana na majanga yanayotokana na mabadiliko ya tabia nchi.