Jamii yatakiwa kushirikiana kutokomeza ukatili Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sofia Simba Serikali imewataka wazazi na walezi kushirikiana pamoja katika malezi ya familia ili kutokomeza ukatili wa kijinsia ambao huwakumba zaidi wanawake, watoto na watu wenye ulemavu. Read more about Jamii yatakiwa kushirikiana kutokomeza ukatili