Watu 7 wafariki katika ajali ya gari Mbinga Wanafunzi sita wa sekondari ya Makatekista na mkuu wa shule hiyo wamefariki dunia na wengine 26 kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutumbukia kwenye korongo na kuwaka moto. Read more about Watu 7 wafariki katika ajali ya gari Mbinga