Ratiba ya kujiandikisha BVR Morogoro yazua utata
Zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura mkoani Morogoro limeingia dosari baada ya kushindwa kuanza rasmi siku ya Jumatatu kutokana na kukosekana vifaa na kusababisha wasiwasi mkubwa kwa wananchi kukosa haki ya kupiga kura.
