Marufuku utengenezaji milipuko migodini-Fuime

Kamanda wa Jeshi la polisi Mkoa wa Manyara Christopher Fuime.

Jeshi la polisi mkoa wa Manyara limepiga marufuku utengenezaji holela wa milipuko ya kienyeji inayotajwa kushamiri katika migodi ya wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite Mererani ambayo imekuwa ikisababisha madhara ya vifo kwa wachimbaji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS