Wakesha vituoni wakisubiri kuandikishwa BVR
Zoezi la kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura mkoani Kagera linaendelea kusuasua ambapo leo ni siku ya sita wananchi wanalala usikukucha katika vituo vya kujiandikisha wakiwa wamepanga foleni bila mafanikio.
