Kamote etetea mkanda wake kwa Emilion

Bondia Allan Kamote amefanikiwa kuutetea Ubingwa wake wa Dunia wa UBO kilo 61 Light Weight baada ya kumtwanga mpinzania wake Emilion Novat kwa TKO ya Raundi ya 10 pambano lililofanyika hapo jana usiku Uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS