AY ahusududu 'ufundi' wa Dr. Dre
Star wa muziki AY, ameweka wazi mkali anayemhusudu kwa upande wa game ya muziki kimataifa akiwa ndio kama muongozo wake katika kila ambacho star huyo anakifanya na kuwa mfano bora wa wasanii wengi wa muziki hapa Bongo.

