Ukosefu wa vifaa watajwa kuwa kikwazo UMITASHUMTA
Ukosefu wa vifaa kwenye mashindano ya umoja wa michezo na taaluma kwa shule za msingi Tanzania umitashumta umeelezwa kuwa kikwanzo kikubwa kinachofanya michuano hiyo kusua sua mara kwa mara katika uendeshaji wake hususani mkoani Morogoro.
