Rais Kikwete atuma rambirambi China, kwa vifo 400 Rais Kikwete atuma salamu za rambirambi kuombeleza vifo vya zaidi ya watu 400 ambao wamepoteza maisha yao katika ajali ya boti ya kitalii, iliyozama katika Mto wa Yangtze mwanzoni mwa wiki hii. Read more about Rais Kikwete atuma rambirambi China, kwa vifo 400