Wanahabari kutoa maoni ya muswada wa sheria leo Katibu wa jukwaa la wahiriri Tanzania Neville Meena. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii imewaalika wadau muhimu wa habari leo mkoani Dodoma kutoa maoni yao kuhusu Muswada wa Sheria ya Upatikanaji wa Habari wa mwaka 2015. Read more about Wanahabari kutoa maoni ya muswada wa sheria leo