Nooij apewa muda Stars kufuzu CHAN
Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya soka ya Tanzania Taifa Stars Mart Nooij amepewa muda zaidi wa kuivukisha Tanzania kwenye michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN na asipofanya hivo kibarua chake kitasitishwa.