Kerr kocha mpya simba kwa mkataba wa mwaka
Klabu ya Simba ya jijini Dar es salaam imeingia mkataba wa mwaka mmoja na kocha raia wa Uingereza, Dylan Kerr akirithi mikoba ya Mserbia, Goran Kopunivoc aliyemaliza mkataba wa kukinoa kikosi hicho mwishoni mwa msimu uliopita wa ligi kuu Bara.

