Muswada wa vyombo vya habari wazidi kupingwa
Mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu nchini Tanzania THRDC umesema kupitishwa kwa muswada wa sheria ya vyombo vya habari ya mwaka 2015 iliyoandikwa bila kufanyiwa marekebisho ni ukiukwaji wa haki za binadamu.