Prof. Lipumba aahidi kuimarisha umoja wa kitaifa
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Prof. Ibrahim Lipumba amesema endapo atapata ridhaa kutoka Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ataunda serikali ya Umoja wa Kitaifa pamoja na kusimamia maslahi ya wananchi.