Wanariadha watanzania waanza mazoezi Eldoret Kenya

Wanariadha watatu wa Tanzania waliosaini mikataba ya kupata mafunzo kwa ajili ya kujiandaa na michezo ya Olimpiki Rio 2016 katika kituo cha kimataifa cha Keino cha Eldoret Kenya wameanza rasmi mazoezi hapo jana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS