Wawili wakutwa wameuawa kiutata mkoani Kagera
Watu wawili wamekutwa wameuawa katika mazingira ya utata mkoani Kagera Wilaya ya Misenyi katika kijiji cha Jera ambapo miili yao imekutwa na majeraha shingoni na wananchi kuhisi kuwa wametolewa makoromeo yao.
