AY
Katika stories na AY, bila kuzungusha maneno mkali huyo ameeleza kuwa Dr Dre ndiye nyota anayemhusudu, kuanzia aina ya maisha ambayo anaishi, vilevile harakati zake katika muziki, ikiwepo kusaidia vipaji mbalimbali kufikia ndoto zao, wakiwepo wasanii wakubwa kama Snoop Dogg, Eminem, 50 Cent na wengineo.
AY kuhusiana na hili hapa anaeleza mwenyewe kwa undani zaidi.