Bilioni 137 kugharamia elimu bure jan-june 2016
Serikali imesema kuwa imekwishatenga kiasi cha sh. bilioni 137 kwa ajili ya kugharamia utoaji wa elimu ya bure kuanzia Januari hadi Juni, mwakani ambapo imeshaanza kusambaza pesa hizo katika mashule nchini