Mapinduzi ya Zanzibar lazima yalindwe - Dr. Shein Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amewataka wananchi wa Zanzibar, kulinda na kuenzi Mapinduzi ya Januari mwaka 1964 kwa nguvu zote Read more about Mapinduzi ya Zanzibar lazima yalindwe - Dr. Shein