Williams, Djokovic waanza vyema Australian Open
Mabingwa watetezi wa michuano ya wazi ya Australia Serena Williams kwa wanadada na Novan Djokovic kwa wanaume wameanza vyema kampeni zao za kutetea ubingwa wao kufuatia ushindi walioupata mapema hii leo.

