Msanii kutoa albam ni lazima - Mwana FA. Tofauti na wa wasanii wengi kudai kwamba hakuna ulazima wa msanii kutoa albam, msanii wa muziki wa bongo fleva Mwana FA, amesema kutoa albam kwa msanii ni kitu cha lazima. Read more about Msanii kutoa albam ni lazima - Mwana FA.